“Ninataka kwenda Japani!” Kama umewahi kujisikia ukisema hivi, basi kipindi hiki ni kituo cha kuanzia. Utajifunza semi zitakazokufanya uzungumze pamoja na maelezo ya matumizi na matamshi. Kifuatilie, iwe unataka kuzuru au kuishi Japani.
Kutengeneza mustakabali pamoja. Hadithi zenye msukumo za miradi ya watu wa Japani wanaofanya kazi na jamii katika nchi zinazoendelea wakiwa na mawazo mapya na jitihada za kusaidia kutatua changamoto.