Jifunze Kijapani
Easy Japanese

“Ninataka kwenda Japani!” Kama umewahi kujisikia ukisema hivi, basi kipindi hiki ni kituo cha kuanzia. Utajifunza semi zitakazokufanya uzungumze pamoja na maelezo ya matumizi na matamshi. Kifuatilie, iwe unataka kuzuru au kuishi Japani.