Wasifu wa Muelekezi: Akiko Watanabe, mtaalamu wa mapishi
Akiko Watanabe amekuwa akifundisha namna ya kupika kwa mtindo wa Kijapani kwa zaidi ya miaka 25. Ana ufahamu mkubwa wa mapishi ya maeneo kote nchini Japani. Kama mama, lengo lake ni kufundisha mapishi ambayo ni rahisi kuandaa.