Kipindi: Semi za Kijapani na Mahojiano na Sabra Abdallah

Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea Semi za Kijapani ambapo utapata mwanya wa kutanabahi misemo ya Kijapani, maana na matumizi yake, lakini pia utasikiliza mahojiano na Sabra Abdallah kuhusu tajiriba yake nchini Japani.

Sabra Abdallah na Mbozi Katala