Kasha la kuandikia lenye majadara nane lililobuniwa na Ogata Korin

Makasha ya kuandikia yamebuniwa ili kuweka vifaa vya kuandikia. Kasha la kuandikia lenye madaraja nane lilibuniwa  na Ogata Korin mwanzoni mwa karne ya 18, anayefahamika kwa uchoraji wake juu ya skrini. Rangi ya dhahabu na gamba la chaza vinaashiria maua yakichanua kwenye pembe za maji. Inaelezea mandhari moja kutoka kazi ya fasihi ya "Simulizi ya Ise," kama muundo wake unavyoonyesha azma ya Korin ya kupita mipaka ya kitamaduni. (Kipindi hiki kilitangazwa Mei 7, 2015)

Kasha la kuandikia lenye madaraja nane