#48 Nikihitimu, nataka kufanya kazi nchini Japani.

Ili kuelezea mpango wako katika sharti fulani, sema kitenzi cha umbo la "ta" kisha “ra,” ili kuashiria hali ya sharti, halafu malizia na mpango wako. "Sotsugyoo-shitara nihon de hatarakitai desu" inamaanisha "Nikihitimu, nataka kufanya kazi nchini Japani."

Transcript