#46 Ni ndogo lakini inapendeza.

Jifunze namna ya kusema kitu fulani kina sifa zinazokinzana. Unganisha vivumishi viwili vinavyokinzana kwa kutumia “kedo” (lakini), kisha “desu ne.” Ukitaka kusema "Ni ndogo lakini inapendeza," sema "chiisai kedo kiree desu ne."

Transcript