#43 Unaonekana mwenye afya.

Ili kuelezea unachofikiri juu ya ukionacho, ondoa "na" ya kivumishi kinachoishia na "na" au "i" ya kivumishi kinachoishia na "i," kisha weka "soo desu ne." "Genki soo desu ne" inamaanisha "Unaonekana mwenye afya."

Transcript