#42 Ninadhamiria kumpatia Yuuki-san.

Kuelezea unachodhamiria kukifanya, sema kitenzi kisha "tsumori desu." Hivyo "watasu" (kupatia) inakuwa “watasu tsumori desu." "Ninadhamiria kumpatia Yuuki-san" inakuwa "yuuki-san ni watasu tsumori desu."

Transcript