#41 Tunaweza kununua tiketi?

Ili kumuuliza mtu kama unaweza kufanya kitu fulani, sema kitenzi kinachoashiria tamanio lako, kisha "koto ga" na "dekimasu," yaani kitu fulani kinawezekana. Mwisho maliza na "ka." "Tunaweza kununua tiketi?" inakuwa "chiketto o kau koto ga dekimasu ka."

Transcript