#40 Kwa kuwa ilikuwa ni mara yangu ya kwanza, nimeshtuka.

Kuelezea sababu ya kitendo ulichokifanya, sema sababu hiyo kisha kiunganishi "kara," halafu kitendo hicho. "Kwa kuwa ilikuwa ni mara yangu ya kwanza, nimeshtuka" itakuwa "hajimete datta kara bikkuri-shimashita."

Transcript