#39 Nimepoteza pochi yangu.

Ili kuelezea kuwa umefanya kitu ambacho hujadhamiria kukifanya, tumia kitenzi cha umbo la "te" na ongeza “shite shimaimashita.” Hivyo, “otosu” (kudondosha/kupoteza) inakuwa “otoshite shimaimashita.” "Saifu o otoshite shimaimashita" inamaanisha "Nimepoteza pochi yangu."

Transcript