#37 Runinga haiwaki…

Kuelezea kuwa unatatizwa na kitu, sema jina la kitu, kisha kiunganishi "ga," na kitenzi cha kukanusha kikifuatiwa na "n desu ga." "Terebi ga tsukanain desu ga" inamaanisha "Runinga haiwaki."

Transcript