#36 Tunaweza kutumia bafu kuanzia saa ngapi hadi saa ngapi?

Ili kuuliza kitu fulani kitafunguliwa au kitapatikana wakati gani, weka "wa" baada ya jina la kitu, kisha “nan-ji kara nan-ji made desu ka.” "Ofuro wa nan-ji kara nan-ji made desu ka" inamaanisha "Tunaweza kutumia bafu kuanzia saa ngapi hadi saa ngapi?"

Transcript