#35 Ninataka kwenda Owakudani na kula mayai meusi.

Sema mambo mengi unayotaka kuyafanya kwa kutumia umbo la "te" kwenye kitenzi cha kwanza na umbo la kutamani, "taidesu," katika kitenzi cha pili. "Ninataka kwenda Owakudani na kula mayai meusi" inakuwa "oowaku-dani ni itte kuro-tamago ga tabetai desu."

Transcript