#34 Nimewahi kukisoma.

Ili kuelezea kuwa umewahi kufanya kitu fulani, badili kitenzi kiwe wakati uliopita, mfano "yomu" (kusoma) kinakuwa "yonda" (-mesoma), kisha ongeza "koto arimasu." "Yonda koto arimasu" ni "Nimewahi kukisoma."

Transcript