#33 Nitasubiri kwa muda gani?

Ili kuulizia kitu fulani kitachukua muda gani, sema "donokurai" (muda gani/kiasi gani,) kisha kitenzi kama "machimasu" (kusubiri) na mwisho "ka." "Nitasubiri kwa muda gani?" inakuwa "donokurai machimasu ka."

Transcript