#31 Kwa nini tusiende pamoja?

Ili kumwomba mtu aende nawe sehemu fulani, sema "issho ni" (pamoja), badili kitenzi kiwe umbo la kukanusha kiungwana mfano "ikimasu" kuwa "ikimasen," kisha malizia na "ka." "Issho ni ikimasen ka" ni "Kwa nini tusiende pamoja?"

Transcript