#30 Tuliimba nyimbo na kucheza dansi pamoja.

Sema vitu vingi ulivyofanya kwa wakati mmoja kwa kutumia kitenzi cha umbo la "tari." “Utattari odottari” inamaanisha “kuimba nyimbo na kucheza dansi.”

Transcript