#28 Ninaweza kupiga picha?

Unapoomba ruhusa ya kufanya kitu, kwanza badili mwisho wa kitenzi uwe umbo la "te." Mfano, "toru" (kupiga) inakuwa "totte." Kisha ongeza "mo ii desu ka." "Ninaweza kupiga picha?" itakuwa "shashin o totte mo ii desu ka."

Transcript