#27 Kipi ni kitamu zaidi?

Ili kuulizia cha kuchagua miongoni mwa vitu vitatu au zaidi, sema "dore ga ichiban," kisha kivumishi kama "oishii" (tamu) na mwisho "desu ka." Hivyo unaweza kuuliza kipi ni kitamu zaidi kwa kusema "dore ga ichiban oishii desu ka?"

Transcript