#26 Hiki kimanda cha Kijapani ni kitamu na kina ladha nzuri.

Unganisha vivumishi kupata njia nyingi za kuelezea fikra zako. Muhimu ni kubadili "i" ya kivumishi cha kwanza iwe "kute." "Kono tamago-yaki amakute oishii desu" inamaanisha "Hiki kimanda cha Kijapani ni kitamu na kina ladha nzuri."

Transcript