#25 Koo langu linauma.

Ili kuelezea sehemu ya mwili wako inayouma, sema sehemu hiyo halafu kiunganishi "ga" kisha kivumishi kama "itai," yaani inauma, na mwisho "n desu." Hivyo "Koo langu linauma" itakuwa "nodoga itain desu."

Transcript