#24 Siwezi kula mayai mabichi.

Ikiwa kuna kitu huwezi au hutaki kula, sema jina la kitu kisha "wa taberaremasen." "Nama-tamago wa taberaremasen" inamaanisha "Siwezi kula mayai mabichi."

Transcript