#23 Mimi nampenda paka huyu.

Ili kuelezea unachokipenda, sema jina la mtu, sehemu, au kitu kisha "ga suki desu." "Watashi wa kono neko ga suki desu" inamaanisha "Mimi nampenda paka huyu."

Transcript