#22 Tupige picha.

Mtie mtu hamasa ya kufanya kitu nawe kwa kubadili "masu" mwishoni mwa kitenzi kuwa "mashoo." "Shashini o torimashu" (kupiga picha) inakuwa "shashin o torimashoo" (Tupige picha).

Transcript