#21 Nipo ndani ya mnara wa saa.

Ili kuelezea mahali ulipo, sema jina la mahali kisha "ni imasu." "Tokeedai no naka ni imasu" inamaanisha "Nipo ndani ya mnara wa saa."

Transcript