#18 Kulifurahisha kweli.

Ili kuelezea mvuto wa ulichokifanya, ondoa "i" ya mwisho ya kivumishi cha "i," kama "tanoshii" (-a kufurahisha) na "oishii" (tamu), kisha ongeza "katta desu." "Sugoku tanoshikatta desu" inamaanisha "Kulifurahisha kweli."

Transcript