#17 Nimekuwa nikisafiri sehemu mbalimbali Japani.

Ili kusema ambacho umekuwa ukikifanya karibuni, badili "masu" mwishoni mwa kitenzi kiishie na "te imasu." "Nihon o ryokoo-shite imasu" inamaanisha "Nimekuwa nikisafiri sehemu mbalimbali Japani."

Transcript