#16 Hii ni chemchemi maarufu ya majimoto.

Fahamu aina ya vivumishi vinavyoishia na "na" na furahia namna nyingi za kuelezea fikra zako kwa vitu. "Yuumeena onsen desu" inamaanisha "Hii ni chemchemi maarufu ya majimoto."

Transcript