#15 Naelekea chemchemi ya majimoto ya nyani, tafadhali.

Ili kumwambia dereva wa teksi unakotaka kwenda, sema tu mahali kisha "made onegai-shimasu." "Saru no onsen made onegai-shimasu" inamaanisha "Naelekea chemchemi ya majimoto ya nyani, tafadhali."

Transcript