#13 Nataka kutazama theluji.

Ili kusema unachotaka kufanya, badili "masu" mwishoni mwa kitenzi kwa kuweka "tai desu." Mfano, "mimasu" (kutazama/kuona) inakuwa "mitai desu" (kutaka kutazama/kuona). Unapotaka kutazama theluji, sema "yuki ga mitai desu."

Transcript