#11 Kuna hirizi za bahati?

Ikiwa unataka kuuliza kama duka lina kitu fulani, sema jina la kitu hicho halafu "wa arimasu ka." "Omamori wa arimasu ka?" inaamanisha "Kuna hirizi za bahati?"

Transcript