#8 Huyu ni rafiki yangu, Ayaka-san.

Ili kumtambulisha mtu kwa mtu mwingine, sema neno la kuelezea uhusiano wenu, kisha "no" halafu jina la mtu huyo na mwisho "desu." Hivyo "Huyu ni rafiki yangu, Ayaka-san" itakuwa "tomodachi no ayaka-san desu."

Transcript