#6 Treni hii inakwenda Ikebukuro?

Fahamu namna ya kuuliza ikiwa usafiri wa umma unaenda unapoelekea wewe. Tumia jina la sehemu kisha "ni ikimasu ka." Mfano, "kono densha wa ikebukuro ni ikimasu ka" inamaanisha "Treni hii inakwenda Ikebukuro?"

Transcript