#5 Nimejifunza kwa kusikiliza redio.

Elezea namna ulivyojifunza Kijapani kwa kuweka "de" baada ya njia uliyotumia kujifunzia. Mfano, "rajio de" inamaanisha "kwa kusikiliza redio." "Nimejifunza kwa kusikiliza redio" itakuwa "rajio de benkyoo-shimashita."

Transcript