#4 Nitasoma Kijapani katika chuo kikuu.

Zungumzia mipango yako. Weka "shimasu" baada ya mpango ili kuelezea unachotarajia kufanya. "Daigaku de nihongo o benkyoo-shimasu" inamaanisha "Nitasoma Kijapani katika chuo kikuu."

Transcript