#2 Mimi ni Tam. Ni mwanafunzi.

Kujitambulisha ni rahisi. Weka "desu" baada ya jina au kazi yako ili kuelezea wewe ni nani na unachokifanya. "Tamu desu. Gakusee desu" inamaanisha "Mimi ni Tam. Ni mwanafunzi."

Transcript