WHAT'S YOUR CONNECTION?

WHAT'S YOUR CONNECTION?

Kipindi hiki kinawapa wasikilizaji wa nje ya nchi uhusiano na Japani, kinaunganisha wasikilizaji na Japani kwa kuwezesha kuwapa uelewa wa kina. Wasikilizaji watakuwa wanatuma ujumbe na maswali kwenye redio ya NHK WORLD-JAPAN, wakishirikishana mawazo yao kuhusiana na Japani na kutuelezea mada wanazopenda kusikia zaidi. Tuwatambulisha wasikilizaji hao na mawazo yao kwa wasikilizaji wengine na kutoa baadhi ya majibu.