Vinono kutoka jijini Tokyo

Vinono kutoka jijini Tokyo

"Vinono kutoka jijini Tokyo" ni kipindi kinachoangazia vyakula vya Kijapani vinavyopatikana kwenye masoko maarufu ya mauzo ya jumla ya vyakula yaliyopo jijini Tokyo ambako kila aina ya vyakula kutoka tu shambani au baharini huwepo hapo kutokea nchini kote.