Kwa kutumia fursa ya mtandao mpana nchi nzima wa NHK, tunaandaa kipindi ambacho hutambulisha vivutio kutoka kote nchini Japani kwa kugusia mada mbalimbali-utamaduni na jamii pamoja na maisha ya wanajamii katika kila eneo la nchi kutoka Hokkaido hadi Okinawa.