Bi arusi wa Willow
Sikiliza simulizi za zamani za Japani. Hadithi yetu ya leo ni "Yanagi no yome" au "Bi arusi wa Willow."
(Kipindi hiki kilitangazwa Feb 27, 2020)