Kuminywa kwa ajili ya mafuta
Sikiliza simulizi za zamani za Japani. Hadithi yetu ya leo ni "Aburashime" au "Kuminywa kwa ajili ya mafuta." (Kipindi hiki kilitangazwa Aprili 13, 2020.)