Tonge la wali linalobingirika
Sikiliza simulizi za zamani za Japani. Hadithi yetu ya leo ni "Omusubi Kororin" au "Tonge la wali linalobingirika." (Kipindi hiki kilitangazwa Julai 4, 2019.)