Mzee awezeshaye miti kuchanua maua
Sikiliza simulizi za zamani za Japani. Hadithi yetu ya leo ni "Hanasaka Jiisan" au "Mzee awezeshaye miti kuchanua maua." (Kipindi hiki kilitangazwa Aprili 4, 2019.)