Viatu vya mbao vyenye hazina
Sikiliza simulizi za zamani za Japani. Hadithi yetu ya leo ni "Takara geta" au "Viatu vya mbao vyenye hazina."