Tamasha la Global Festa Japani 2018: Sehemu 2
Katika Tamasha la Global Festa Japani 2018, Idhaa ya Kiswahili ya Redio Japani yaonyesha tamaduni za nchi za Afrika Mashariki. Tunakuletea ripoti juu ya tamasha hilo.
Shunpei Kambe wa shirika la utoaji misaada nchini Kenya
Tomomi Kawazoe, aliyewahi kuwa mfanyakazi wa kujitolea wa shirika la JICA nchini Tanzania