Semina ya "Africa Hack Collabo" 1
Semina iliyojulikana kama Africa Hack Collabo ilifanyika mwishoni mwa mwezi Agosti jijini Tokyo kwa lengo la kuwakutanisha wafanyabiashara wa Japani na wale wa Afrika. Utafahamu zaidi kuhusu semina hii kupitia kwa Ahmed Salum aliyeihudhuria.