Kazini nchini Japani ni kipindi kinachoangazia maisha ya raia wa kigeni wanaofanya kazi nchini Japani. Katika kipindi hiki, tunakutana na raia wa Ufilipino Ryan Bueno, anafanya kazi ya kutunza ng'ombe katika shamba lililopo mkoani Chiba. (Kipindi hiki kilitangazwa Desemba 1, 2022.)
Ryan ameweka umakini mwingi na ukarimu katika kuwahudumia ng'ombe.