Mtengenezaji wa Vielezo vya Mavazi
Kipindi cha Kazini nchini Japani kinafuatilia maisha ya raia wa kigeni wanaofanya kazi nchini Japani. Wakati huu, tunakutana naye Huang Lian kutoka Taiwan anayetengeneza vielezo vya mavazi, hii ikiwa ni hatua muhimu katika uzalishaji wa mavazi. (Kipindi hiki kilitangazwa Machi 31, 2022.)
Huang Lian, mtengenezaji wa vielezo vya mavazi.